welcome

finally you made it in!!!!!!!!!!

Na Yule Music Lyrics by Ruby

Lyrics for Na Yule by Ruby

Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza
ukapenda kijana au mzee
Niite jina langu baby, huenda nafsi yangu
itapoa
Shika moyo wangu baby, unavyo kwenda
mbio wewe utapoa
Kuna muda namwomba mungu
angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya wewe ndo unaejua
maumivu yangu X2
Sibra ndo initoke machoniii tembea
nami ndotoniii
Ntakuweka moyoniii bila hofu rohoniii
Moyo wangu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame
yule namwamini sana
(2)
ahhhhh
Baby, sitaki kutazama nyuma tena.
mmh, maumivu nilisha yaona
Wengi walinipotezea muda, hakuna
nilichokipata
Kuna muda namwomba mungu
angekuleta mapema
Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua
maumivu yangu X2
Sibra ndo initoke machoniii, tembea
nami ndotoniii
Nitakuweka moyonii bila hofu rohoniii
Moyo wangu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame
yule namwamini sana
Bridge-
Moyo wangu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame
yule namwamini sana
Moyo wangu tembea na yule, na yule
ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame
yule namwamini sana