welcome

finally you made it in!!!!!!!!!!

Mungu Pekee Lyrics By Nyashisnky

(Verse 1}

Sijui Ka ntaona kesho
Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi
mwisho
Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir
God yuko nami hadi kifo
Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa
kijana na akili za mzee
Daima ni we, Imara wasiniangushe.
Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana
So haja gani ushike tama Mama, Majaribu
huisha ooh aae!
Na hata ka, maadui zangu watashikana nao
njama siogopi nasimama mum Yakiama yao
yaja eeh.
Hio ndio pace nasonga nayo, wanashangaa
hakuna stress nakuanga nayo
Naishi ka sina Case mahakamani, Au madeni za
majirani niko Fresh njee na ndani, oooh yaae!

[Chorus]

Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu
Ntetee, maneno
yao yasiniumize nfanye sugu wewe.
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don’t fear Nobody But You
I know you love me know you love me
Nisitetemeke ×2

(Verse 3)

Ah! Siamini joh ju vile naishi life
Ni ngumu kuamini hii si ndoto.
Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo nitaifanya
ka kidogo hua hairidhishi roho
Yani sana, tena sana, Hata wale wananchukia
wananiheshimu bruh mi si kodogo
Ah sibabaiki nikiskia mkiongea
Nazidi kuwapa mi kisogo, nakama saa sismami
Staki life iniwache mataani mtaani, mwenyezi
nchungie familia yangu na pia, za wale wote
sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri, na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni
wewe wakupewa shangwe ni wewe, wa kupewa
shagwe ni wewe.

(Chorus)

Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu
Ntetee,
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe.
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don’t fear Nobody But You
I know you love me know you love me
Nisitetemeke ×2

(Bridge)
I pray we, me and my people we never die
Say we live forever and forever we multiply.
And wherever we go, ni nini wanaweza nishow
hata ka sina kitu uko na mimi kila siku, kila
siku, wewe Pekee.

(Chorus)

Naamwogopa Mungu Pekee,
wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu
Ntetee,
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe.
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke.
I know you love me, know you love me
So I Don’t fear Nobody But You
I know you love me know you love me
Nisitetemeke ×2

Official Nyashinsky #shinsky