welcome

finally you made it in!!!!!!!!!!

Basi Lyrics by otile Brown

{Verse One}
Nahisi siko sawasawa
kunakitu kinakosa
Kumbe leo sijamuona (I
wonder if you feel the same
way)
Basinaugua na siumwi,
chakula kooni hakipiti na
silali
Hata kwa dawa za usingizi
(I wonder if you feel the
same way)
Na macho yangu yanatamani
kukuona, nafsi yangu
inakukosa sana
Na moyo wangu najawa hofu
na uwoga
Mali yangu wasije
wakanipora
Na moyoni nakosa Amani
sina, fikra zangu
zinakwenda mbali kabisa
Ama jiji lishaa ninyang’anya
we wangu
Ila niwie radhi kama
nakuhukumu vibaya elewa
yote kisa
Kisa mama
[Chorus]
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali chunga
usiniumize
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache
nijifie
Maana nakupenda mpaka
basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda
mpaka basi
{Verse Two}
Penzi langu unanihifadhia,
heri ungekuwa sincere
Oh Je unaniwazanga, maana
huku nakufikiria
Mi nakupenda kipimo sina, ni
bora uwe macho
Usije niletea walosaza
Kukupenda jukumu langu,
sheria kuu
Kwenye katiba ya penzi
langu
Je uko uliko uko vizuri?
Mbona simu hushiki?
Hivi uko na nani, mnafanya
nini? Wasi wasi ninao
[Chorus]
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali chunga
usiniumize
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache
nijifie
Maana nakupenda mpaka
basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda
mpaka basi
[Bridge]
Waadhi na wasaha ulionipa
nazingatia
Ila nawe usije jisahau,
ukashawishiwa
Na watanashati na washika
dau… ukanisahau
Sije nisusa utaniacha na
mengi…
Bana nitalia x8 nitalia
mama
[Chorus]
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali chunga
usiniumize
Tunatoka mbali nyuma
ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache
nijifie
Maana nakupenda mpaka
basi (Ujue x6)
Ujue mama, nakupenda
mpaka basi